Time | Thursday, April 28 at 6:30pm - May 7 at 8:00pm |
---|---|
Location | Alliance Francaise |
More Info | An exhibition of photographs taken by participants of a one year Effective Rural Photojournalism Coaching by Flame Tree Media Trust. Maonesho hayo yanajumuisha kazi za wapigapicha 60 wanachama wa Vyama vya Waandishi wa Habari (Press Clubs) wa mikoa ya Lindi, Iringa, Mwanza, Shinyanga, Zanzibar na Kigoma amabao walipata mafunzo kutoka Flame Tree Media Trust (FTMT), kati ya Mei - Septemba 2010. Mafunzo na maonesho hayo yamefadhiriwa na Tanazania Media Fund (TMF). |
Maonesho ya picha, "SAUTI NYAMAVU: Simulizi za maisha yetu, Silent Voices Photography Exhibition"
Labels: Alliance Francaise, FTMT
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment